Karibu kwenye ukurasa wa vitabu. Vitabu hivi vinakwenda kukupa maarifa ya kubadilisha maisha yako. Vitabu vinapatikana katika makundi mawili.

Vitabu Vinavyopatikana kwenye mfumo wa HARDCOPY

  1. Tathmini ya Ndoa Miaka 5 Makosa 50 (TSH 10,000/=)
  2. 15 Rules of Engagement in Labour Laws (TSH 20,000/=)

Kupata vitabu hivi unaweza kulipia kwenye namba TIGOPESA 0713 888 040 (Majina yanatokea ISAACK ZAKE) kisha wasiliana nasi kwa namba 0713 888 040 info@isaackzake.co.tz uletewe ulipo kwa waliopo Dar es Salaam. Kama upo mikoani utachangia gharama za usafiri.

VITABU VINAVYOPATIKANA KWENYE SOFTCOPY

  1. Tathmini ya Ndoa Miaka 5 Makosa 50 (TSH 10,000/=)
  2. 15 Rules of Engagement in Labour Laws (TSH 20,000/=)
  3. Nguzo 12 za Uanafunzi TSH 5,000/=
  4. Maana ya Kazi TSH 5,000/=

Kupata vitabu hivi lipia kwenye namba TIGOPESA 0713 888 040 (Majina yanatokea ISAACK ZAKE) tuma ujumbe wenye jina la kitabu, barua pepe yako kwa namba 0713 888 040 au barua pepe info@isaackzake.co.tz kisha utatumiwa kitabu mara moja.