Karibu sana Kwenye Mtandao Huu

Kiu Yangu Kubwa ni kujenga rasilimali watu kimaarifa ili kuwawezesha kutimiza makusudi ya maisha yao kutumia vipawa, maarifa na ujuzi walionao.

USHAURI

Utapata ushauri katika maeneo mbalimbali ya kimaarifa.

ELIMU (KNOWLEDGE)

Utapata elimu au maarifa mbalimbali ya kukujenga kimaisha.

USIMAMIZI

Utapata Usimamizi wa vipaji na mawazo ya kibiashara na kuyaendeleza.

Maeneo ya Uzoefu

Sheria

Isaack Zake ni mwanzilishi wa mtandao wa kutoa elimu, ushauri na msaada wa kisheria wa www.ulizasheria.co.tz

Uongozi

Isaack Zake pia ni Mkurugenzi wa Idara ya Sheria na Uhusiano wa chama cha Waajiri Tanzania Labour Guide – www.tzlabourguide.co.tz

Uandishi

Ni mwandishi wa vitabu na makala mbalimbali kwenye nyanja za kisheria, kijamii, kiuchumi na kiroho na mwalimu wa makundi mbalimbali ya kijamii.

Jinsi ya Kufanya Kazi na Mimi

Makala za Blog

Kwenye tovuti yetu kuna makala nyingi za kukusaidia upige hatua kwenye maisha yako.

Vitabu

Mtandao huu unatoa vitabu mbalimbali vya maisha na kiroho, utaweza kujifunza na kukuza kile kilichopo ndani yako.

Ushauri na Usimamizi

Unapata ushauri wa karibu kwenye kile unachotaka kufanya pamoja na usimamizi wa karibu ili uweze kukua na kufikia mafanikio makubwa zaidi.

100+

Consultancy

10+

Years of experience

24/7

Availability & Support

100,000

Post Views

SOMA MAKALA