Purpose 4. Hatua za kujua kusudi – Tengeneza kiu ndani yako
Karibu sana ndugu msomaji wa makala mbalimbali katika mtandao huu wa isaackzake. Tunamshukuru Mungu sana kwa nafasi aliyotupa tena kukutana na wewe msomaji kwa njia ya makala hizi. Katika makala iliyopita tulianza kuangalia hatua ya kwanza…
Purpose 3. Hatua za kujua kusudi – Tambua Mamlaka juu yako
Karibu sana ndugu msomaji wa makala mbalimbali katika mtandao huu wa isaackzake. Tunamshukuru Mungu sana kwa nafasi aliyotupa tena kukutana na wewe msomaji kwa njia ya makala hizi. Katika makala iliyopita tulitambulisha au kukuletea makala…
Purpose 2. Ni nini maana ya Kusudi?
Karibu sana ndugu msomaji wa makala mbalimbali katika mtandao huu wa isaackzake. Tunamshukuru Mungu sana kwa nafasi aliyotupa tena kukutana na wewe msomaji kwa njia ya makala hizi. Katika makala iliyopita tulitambulisha au kukuletea makala…
Purpose 1. Kusudi la Maisha
Karibu sana ndugu msomaji wa makala mbalimbali katika mtandao huu wa isaackzake. Tunamshukuru Mungu sana kwa nafasi hii ya kuanza mwaka mwengine wa 2021. Kila mmoja wetu amepitia changamoto mbalimbali katika mwaka uliopita 2020 lakini mpaka…
AES.14. Kipimo cha kumbukumbu badala ya maarifa
Utangulizi
Karibu sana ndugu msomaji wetu. Katika makala iliyopita tulianza kuzichambua changamoto za mfumo wa elimu katika upimaji, kwa kuangalia kiujumla mojawapo ya changamoto kubwa ya mfumo huu rasmi ya elimu. Leo tunaanza…
Kazi 15. Changamoto za ajira – Nafasi
Utangulizi
Karibu tena ndugu msomaji katika mfululizo wa makala hizi za kujifunza juu ya maana ya kazi kwa lengo la kuboresha maisha yetu kila siku na kusaidia watu wengi ambao wanapaswa kufanya kazi ili kuingia kazini.
Katika makala…
Kazi 14. Changamoto za ajira – Hali ya Uchumi
Utangulizi
Karibu tena ndugu msomaji katika mfululizo wa makala hizi za kujifunza juu ya maana ya kazi kwa lengo la kuboresha maisha yetu kila siku na kusaidia watu wengi ambao wanapaswa kufanya kazi ili kuingia kazini.
Katika makala…
Kipaji.14. Unaipa nini dunia leo?
Utangulizi
Karibu sana ndugu yangu katika mafunzo juu ya Kipawa/Vipawa katika ukurasa huu wa vipaji. Katika makala zilizopita tumekuwa tukangalia juu ya misingi 4 ya kipaji. Leo tunakwenda kujuliza swali ya kuwa unapa nini dunia leo?…
AES.13. Changamoto za Mfumo rasmi wa Elimu katika Upimaji
Utangulizi
Karibu sana ndugu msomaji wetu. Katika makala ziliyopita tuliachambua changamoto mbalimbali za mfumo wa elimu kwa ujumla wake jinsi zinavyoathiri sana wale ambao wanatarajiwa kuwa watendaji katika maeneo mbalimbali. Changamoto…
Kazi 13. Kazi ipo ‘ndani yako’ wakati ajira ni ya ‘ipo nje yako’
Utangulizi
Karibu tena ndugu msomaji katika mfululizo wa makala hizi za kujifunza juu ya maana ya kazi kwa lengo la kuboresha maisha yetu kila siku na kusaidia watu wengi ambao wanapaswa kufanya kazi ili kuingia kazini.
Katika mfululizo…