• Twitter
  • Facebook
  • Instagram
Isaack Zake
  • Home
  • Kuhusu Mimi
  • Huduma
  • Vitabu
  • ULIZA
  • Shop
  • Blog
  • Mawasiliano
  • Search
  • Menu Menu
Isaack Zake

About Isaack Zake

This author has not written his bio yet.
But we are proud to say that Isaack Zake contributed 131 entries already.

Entries by Isaack Zake

SPIRITUAL FOOD

Day.23. Spiritual Food: Amini kile Bwana alichokuonesha juu yake

Utangulizi Karibu sana ndugu yangu msomaji ni siku nyingine tena tumepewa na Mungu kwa ajili ya kuendelea kujifunza zaidi misingi ya chakula cha kiroho ili kutuwezesha kufanya mapenzi yake na kumtumikia kwa furaha na upendo siku ya leo. ‘Lakini naliwaambia ya kwamba mmeniona wala hamwamini’ Yn.6:36 Mambo ya kujifunza Bwana Yesu anasisitiza katika andiko hili […]

June 9, 2020/0 Comments/by Isaack Zake
ELIMU

AES.8. Changamoto za Mfumo rasmi wa Elimu – Nadharia

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wetu. Katika makala iliyopita  tulijifunza juu ya changamoto ya Ubaguzi katika mfumo rasmi wa elimu. Leo tunaangalia changamoto Nadharia katika mfumo wa elimu. Karibu sana. Kama tulivyoona katika makala iliyopita juu ya changamoto ya ubaguzi ambayo kwa sehemu kubwa imeathiri watu wengi kwa kubaguliwa kwa kigezo cha mitihani ya darasani. […]

June 9, 2020/0 Comments/by Isaack Zake
SPIRITUAL FOOD

Day.22. Spiritual Food: Je, unakwenda kwa nani kupata chakula cha kiroho?

Utangulizi Karibu sana ndugu yangu msomaji ni siku nyingine tena tumepewa na Mungu kwa ajili ya kuendelea kujifunza zaidi misingi ya chakula cha kiroho ili kutuwezesha kufanya mapenzi yake na kumtumikia kwa furaha na upendo siku ya leo. ‘Yesu akawaambia, Mimi ndimi chakula cha uzima; yeye ajaye kwangu hatoona njaa kabisa, naye aniaminiye hataona kiu […]

June 9, 2020/2 Comments/by Isaack Zake
ELIMU

AES.7. Changamoto za Mfumo rasmi wa Elimu – Ubaguzi

Utangulizi Moja ya eneo ambalo linaathiri maisha yetu kwa sehemu kubwa ni aina au mfumo wa elimu ambao tumepitia. Mfumo huo unaweza kuwa rasmi au usio rasmi, kwa vyovyote vile aina ya elimu ina sehemu kubwa sana katika kuamua hatma ya maisha yetu. Katika makala iliyopita  tulijifunza juu ya changamoto za mfumo rasmi wa elimu […]

June 6, 2020/0 Comments/by Isaack Zake
SPIRITUAL FOOD

Day.21. Spiritual Food: Yesu Kristo ndiye chakula cha Uzima

Utangulizi Karibu sana ndugu yangu msomaji. Ni siku nyingine tena tumepewa na Mungu kwa ajili ya kuendelea kujifunza zaidi misingi ya chakula cha kiroho ili kutuwezesha kufanya mapenzi yake na kumtumikia kwa furaha na upendo siku ya leo. ‘Yesu akawaambia, Mimi ndimi chakula cha uzima; yeye ajaye kwangu hatoona njaa kabisa, naye aniaminiye hataona kiu […]

June 6, 2020/0 Comments/by Isaack Zake
SPIRITUAL FOOD

Day.20. Spiritual Food:Jenga hamu ya Chakula cha Kiroho kila siku

Utangulizi Karibu sana ndugu yangu msomaji wa mtandao huu wa isaack zake. Katika kipengele cha maarifa ya kiroho ya Uliza Neno tunakwenda kujifunza mambo mbalimbali yanayoanishwa na neno la Mungu kwa lengo la kutusaidia utu wetu katika safari na majukumu tuliyonayo hapa duniani siku kwa siku. Ni siku nyingine tena tumepewa na Mungu kwa ajili […]

May 18, 2020/0 Comments/by Isaack Zake
SPIRITUAL FOOD

Day.19. Spiritual Food: Kipo chakula kwa ajili yako leo

Utangulizi Karibu sana ndugu yangu msomaji wa mtandao huu wa isaack zake. Katika kipengele cha maarifa ya kiroho ya Uliza Neno tunakwenda kujifunza mambo mbalimbali yanayoanishwa na neno la Mungu kwa lengo la kutusaidia utu wetu katika safari na majukumu tuliyonayo hapa duniani siku kwa siku. Katika somo lililopita  tuliendelea kujifunza habari za kusudi la […]

May 17, 2020/0 Comments/by Isaack Zake
SPIRITUAL FOOD

Day.18. Spiritual Food: Je, unapata Chakula cha Kweli?

Utangulizi Karibu sana ndugu yangu msomaji wa mtandao huu wa isaack zake. Katika kipengele cha maarifa ya kiroho ya Uliza Neno tunakwenda kujifunza mambo mbalimbali yanayoanishwa na neno la Mungu kwa lengo la kutusaidia utu wetu katika safari na majukumu tuliyonayo hapa duniani siku kwa siku. Katika somo lililopita  tuliendelea kujifunza habari za kusudi la […]

May 16, 2020/0 Comments/by Isaack Zake
SPIRITUAL FOOD

Day.17. Spiritual Food: Weka imani kwa Mungu si mwanadamu

Utangulizi Karibu sana ndugu yangu msomaji wa mtandao huu wa isaack zake. Katika kipengele cha maarifa ya kiroho ya Uliza Neno tunakwenda kujifunza mambo mbalimbali yanayoanishwa na neno la Mungu kwa lengo la kutusaidia utu wetu katika safari na majukumu tuliyonayo hapa duniani siku kwa siku. Katika somo lililopita  tuliendelea kujifunza habari za kusudi la […]

May 13, 2020/0 Comments/by Isaack Zake
KIPAJI CHANGU

Kipaji.4. Kwa nini watu hawawekezi kwenye vipaji vyao?

Utangulizi Karibu sana ndugu yangu katika mafunzo juu ya Kipawa/Vipawa katika ukurasa huu wa vipaji. Katika makala iliyopita tuliangalia namna ya kupima kipaji chako. Makala ya leo tunajiuliza swali ‘Kwa nini watu hawawekezi kwenye vipaji vyao? Karibu sana tujifunze. Zinawezekana kuwepo sababu nyingi sana ambazo zinawafanya watu wasiwekeze katika vipaji vyao au vipaji vya watu […]

May 13, 2020/0 Comments/by Isaack Zake
Page 9 of 14«‹7891011›»

MAKUNDI YA MAKALA

  • ELIMU (20)
  • FAMILIA (2)
  • KIPAJI CHANGU (14)
  • KUSUDI LA MAISHA (13)
  • MAANA YA KAZI (17)
  • MAKALA (2)
  • NENO LA MUNGU (8)
  • SPIRITUAL FOOD (55)

MAKALA MPYA

  • Day.55. Spiritual Food: Je, ulipo kuna maneno ya uzima wa milele? March 26, 2022
  • Day.54. Spiritual Food: Je, unataka kuondoka? March 24, 2022
  • Day.53. Spiritual Food: Je umekwazwa na kitu gani maishani? January 15, 2022
  • AES.20. Upimaji ni rahisi kuwa na udanganyifu November 8, 2021
  • Day.52. Spiritual Food: Twamwendea Bwana Yesu kwa Neema October 18, 2021

Kuhusu | Vitabu | Mawasiliano

© 2020 Isaack Zake. All Rights Reserved

Scroll to top