AES.10. Changamoto za Mfumo rasmi wa Elimu – Masomo usiyoyahitaji
Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wetu. Katika makala iliyopita tulijifunza juu tuliangalia changamoto Ushindani usio na tija. Leo hii tunaangalia juu ya changamoto ya Masomo Usiyoyahitaji. Karibu sana. Tunaendelea kuzichambua changamoto ambazo zipo ndani ya mfumo wa elimu na jinsi zinavyoweza kuathiri wanafunzi ambao tunatarajia kuwa wazalishaji katika taifa lolote ili kujiletea maendeleo. 3. Changamoto […]
