AES.12. Changamoto za Mfumo rasmi wa Elimu – Kuandaa waajiriwa badala ya watenda kazi
Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wetu. Katika makala iliyopita tulijifunza juu ya changamoto ya mfumo wa elimu kufananisha watu wote. Leo tunajifunza juu ya changamoto ya mfumo wa elimu kuandaa waajiriwa badala ya watenda kazi. Karibu sana. Tunaendelea kuzichambua changamoto ambazo zipo ndani ya mfumo wa elimu na jinsi zinavyoweza kuathiri wanafunzi ambao tunatarajia kuwa […]