• Twitter
  • Facebook
  • Instagram
Isaack Zake
  • Home
  • Kuhusu Mimi
  • Huduma
  • Vitabu
  • ULIZA
  • Shop
  • Blog
  • Mawasiliano
  • Search
  • Menu Menu
Isaack Zake

About Isaack Zake

This author has not written his bio yet.
But we are proud to say that Isaack Zake contributed 131 entries already.

Entries by Isaack Zake

SPIRITUAL FOOD

Day.39. Spiritual Food: Kula uishi

Utangulizi Karibu sana ndugu yangu msomaji ni siku nyingine tena tumepewa na Mungu kwa ajili ya kuendelea kujifunza zaidi misingi ya chakula cha kiroho ili kutuwezesha kufanya mapenzi yake na kumtumikia kwa furaha na upendo siku ya leo. ‘Hiki ni chakula kishikacho kutoka mbinguni; kwamba akile wala asife’ Yn.6:50 Mambo ya kujifunza Bwana Yesu anasema […]

July 9, 2020/0 Comments/by Isaack Zake
SPIRITUAL FOOD

Day.38. Spiritual Food: Unaweza kula lakini ukafa

Utangulizi Karibu sana ndugu yangu msomaji ni siku nyingine tena tumepewa na Mungu kwa ajili ya kuendelea kujifunza zaidi misingi ya chakula cha kiroho ili kutuwezesha kufanya mapenzi yake na kumtumikia kwa furaha na upendo siku ya leo. ‘Baba zenu waliila mana jangwani wakafa’ Yn.6:49 Mambo ya kujifunza Bwana Yesu anawakumbusha wayahudi juu ya historia […]

July 8, 2020/0 Comments/by Isaack Zake
SPIRITUAL FOOD

Day.37. Spiritual Food: Nini maana ya Yesu kuwa chakula cha uzima?

Utangulizi Karibu sana ndugu yangu msomaji ni siku nyingine tena tumepewa na Mungu kwa ajili ya kuendelea kujifunza zaidi misingi ya chakula cha kiroho ili kutuwezesha kufanya mapenzi yake na kumtumikia kwa furaha na upendo siku ya leo. ‘Mimi ndimi chakula cha uzima’ Yn.6:48 Mambo ya kujifunza Tumeona juu ya kumfahamu Yesu kama chakula cha […]

July 7, 2020/0 Comments/by Isaack Zake
KIPAJI CHANGU

Kipaji.11. Msingi wa Kipaji Na.2. Kipaji ni zawadi

Utangulizi Karibu sana ndugu yangu katika mafunzo juu ya Kipawa/Vipawa katika ukurasa huu wa vipaji. Katika makala iliyopita tuliona msingi wa kipaji kuwa kila mtu anacho kipaji.  Leo tunaangalia msingi wa 2 ya kuwa kipaji ni zawadi. Karibu sana tujifunze. Msingi wa 2. Kipaji ni zawadi Umewahi kufikiri au kujiuliza juu ya utamaduni ambao upo […]

July 7, 2020/0 Comments/by Isaack Zake
KIPAJI CHANGU

Kipaji.10. Msingi wa Kipaji Na.1. Kila mtu ana kipaji

Utangulizi Karibu sana ndugu yangu katika mafunzo juu ya Kipawa/Vipawa katika ukurasa huu wa vipaji. Katika makala iliyopita tuliona changamoto ya Kiburi. Leo tunaanza kuangalia misingi ya vipaji kwa ajili ya kila mmoja wetu. Karibu sana tujifunze. Msingi wa 1. Kila mmoja wetu anacho kipaji Fikiria idadi kubwa ya watu wote duniani sasa ni takribani […]

July 6, 2020/0 Comments/by Isaack Zake
SPIRITUAL FOOD

Day.36. Spiritual Food: Je, unakijua chakula cha uzima?

Utangulizi Karibu sana ndugu yangu msomaji ni siku nyingine tena tumepewa na Mungu kwa ajili ya kuendelea kujifunza zaidi misingi ya chakula cha kiroho ili kutuwezesha kufanya mapenzi yake na kumtumikia kwa furaha na upendo siku ya leo. ‘Mimi ndimi chakula cha uzima’ Yn.6:48 Mambo ya kujifunza Katika andiko hili tunaona kwa mara ya pili […]

July 6, 2020/0 Comments/by Isaack Zake
MAANA YA KAZI

Maana ya Kazi 9. Maana ya neno ‘Kazi’

Utangulizi Karibu tena ndugu msomaji katika mfululizo wa makala hizi za kujifunza juu ya maana ya kazi kwa lengo la kuboresha maisha yetu kila siku na kusaidia watu wengi ambao wanapaswa kufanya kazi ili kuingia kazini. Katika mfululizo wa makala za tofauti ya kazi na ajira tumeanza kwa kuangalia maana ya neno kazi katika makala […]

July 4, 2020/0 Comments/by Isaack Zake
SPIRITUAL FOOD

Day.35. Spiritual Food: Nini maana ya uzima wa milele?

Utangulizi Karibu sana ndugu yangu msomaji ni siku nyingine tena tumepewa na Mungu kwa ajili ya kuendelea kujifunza zaidi misingi ya chakula cha kiroho ili kutuwezesha kufanya mapenzi yake na kumtumikia kwa furaha na upendo siku ya leo. ‘Amin, amin, nawaambia, Yeye aaminiye yuna uzima wa milele’ Yn.6:47 Mambo ya kujifunza Maandiko haya yanatuonesha maneno […]

July 4, 2020/0 Comments/by Isaack Zake
MAANA YA KAZI

Maana ya Kazi 8. Unafanya Kazi au uko kwenye Ajira?

Utangulizi Karibu tena ndugu msomaji katika mfululizo wa makala hizi za kujifunza juu ya maana ya kazi kwa lengo la kuboresha maisha yetu kila siku na kusaidia watu wengi ambao wanapaswa kufanya kazi ili kuingia kazini. Watu wengi wanafahamu ya kuwa kazi ni sawa na ajira au mtu akiwa ameajiriwa ndio anafanyakazi. Ndio maana mtu […]

July 3, 2020/0 Comments/by Isaack Zake
SPIRITUAL FOOD

Day.34. Spiritual Food: Je, unaamini maneno ya Yesu Kristo?

Utangulizi Karibu sana ndugu yangu msomaji ni siku nyingine tena tumepewa na Mungu kwa ajili ya kuendelea kujifunza zaidi misingi ya chakula cha kiroho ili kutuwezesha kufanya mapenzi yake na kumtumikia kwa furaha na upendo siku ya leo. ‘Amin, amin, nawaambia, Yeye aaminiye yuna uzima wa milele’ Yn.6:47 Mambo ya kujifunza Suala la kumfuata Yesu […]

July 3, 2020/0 Comments/by Isaack Zake
Page 6 of 14«‹45678›»

MAKUNDI YA MAKALA

  • ELIMU (20)
  • FAMILIA (2)
  • KIPAJI CHANGU (14)
  • KUSUDI LA MAISHA (13)
  • MAANA YA KAZI (17)
  • MAKALA (2)
  • NENO LA MUNGU (8)
  • SPIRITUAL FOOD (55)

MAKALA MPYA

  • Day.55. Spiritual Food: Je, ulipo kuna maneno ya uzima wa milele? March 26, 2022
  • Day.54. Spiritual Food: Je, unataka kuondoka? March 24, 2022
  • Day.53. Spiritual Food: Je umekwazwa na kitu gani maishani? January 15, 2022
  • AES.20. Upimaji ni rahisi kuwa na udanganyifu November 8, 2021
  • Day.52. Spiritual Food: Twamwendea Bwana Yesu kwa Neema October 18, 2021

Kuhusu | Vitabu | Mawasiliano

© 2020 Isaack Zake. All Rights Reserved

Scroll to top