• Twitter
  • Facebook
  • Instagram
Isaack Zake
  • Home
  • Kuhusu Mimi
  • Huduma
  • Vitabu
  • ULIZA
  • Shop
  • Blog
  • Mawasiliano
  • Search
  • Menu Menu
Isaack Zake

About Isaack Zake

This author has not written his bio yet.
But we are proud to say that Isaack Zake contributed 131 entries already.

Entries by Isaack Zake

SPIRITUAL FOOD

Day.44. Spiritual Food: Jenga tabia ya kula na kunywa ili upate uzima

Utangulizi Karibu sana ndugu yangu msomaji ni siku nyingine tena tumepewa na Mungu kwa ajili ya kuendelea kujifunza zaidi misingi ya chakula cha kiroho ili kutuwezesha kufanya mapenzi yake na kumtumikia kwa furaha na upendo siku ya leo. ‘Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu anao uzima wa milele; nami nitamfufua siku ya mwisho’ Yn.6:54 […]

July 27, 2020/0 Comments/by Isaack Zake
MAANA YA KAZI

Kazi 12. Kazi ni ya ‘asili’ wakati ajira ni ya ‘muda’

Utangulizi Karibu tena ndugu msomaji katika mfululizo wa makala hizi za kujifunza juu ya maana ya kazi kwa lengo la kuboresha maisha yetu kila siku na kusaidia watu wengi ambao wanapaswa kufanya kazi ili kuingia kazini. Katika mfululizo wa makala za tofauti ya kazi na ajira tumeanza kwa kuangalia maana ya neno kazi katika makala […]

July 15, 2020/2 Comments/by Isaack Zake
MAANA YA KAZI

Kazi 11. Kusudi tofauti la ‘kazi’ na ‘ajira’

Utangulizi Karibu tena ndugu msomaji katika mfululizo wa makala hizi za kujifunza juu ya maana ya kazi kwa lengo la kuboresha maisha yetu kila siku na kusaidia watu wengi ambao wanapaswa kufanya kazi ili kuingia kazini. Katika mfululizo wa makala za tofauti ya kazi na ajira tumeanza kwa kuangalia maana ya neno kazi katika makala […]

July 14, 2020/0 Comments/by Isaack Zake
SPIRITUAL FOOD

Day.43. Spiritual Food: Uzima ni matokeo ya kula mwili wa Kristo

Utangulizi Karibu sana ndugu yangu msomaji ni siku nyingine tena tumepewa na Mungu kwa ajili ya kuendelea kujifunza zaidi misingi ya chakula cha kiroho ili kutuwezesha kufanya mapenzi yake na kumtumikia kwa furaha na upendo siku ya leo. ‘Basi Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambieni, Msipoula mwili wake Mwana wa Adamu na kuinywa damu yake, hamna […]

July 14, 2020/0 Comments/by Isaack Zake
MAANA YA KAZI

Kazi 10. Maana ya neno ‘Ajira’

Utangulizi Karibu tena ndugu msomaji katika mfululizo wa makala hizi za kujifunza juu ya maana ya kazi kwa lengo la kuboresha maisha yetu kila siku na kusaidia watu wengi ambao wanapaswa kufanya kazi ili kuingia kazini. Katika mfululizo wa makala za tofauti ya kazi na ajira tumeanza kwa kuangalia maana ya neno kazi katika makala […]

July 13, 2020/0 Comments/by Isaack Zake
SPIRITUAL FOOD

Day.42. Spiritual Food: Muulize Yesu kinachokusumbua kuhusu neno lake

Utangulizi Karibu sana ndugu yangu msomaji ni siku nyingine tena tumepewa na Mungu kwa ajili ya kuendelea kujifunza zaidi misingi ya chakula cha kiroho ili kutuwezesha kufanya mapenzi yake na kumtumikia kwa furaha na upendo siku ya leo. ‘Basi Wayahudi walishindana wao kwa wao wakisema, Awezaje mtu huyu kutupa sisi mwili wake ili tuule? Yn.6:52 […]

July 13, 2020/0 Comments/by Isaack Zake
KIPAJI CHANGU

Kipaji.13. Msingi wa Kipaji Na.4. Kipaji unakufa nacho

Utangulizi Karibu sana ndugu yangu katika mafunzo juu ya Kipawa/Vipawa katika ukurasa huu wa vipaji. Katika makala iliyopita tuliona msingi wa kipaji kinakupa nafasi.  Leo tunaangalia msingi wa 4 ya kuwa Kipaji unakufa nacho. Karibu sana tujifunze. Msingi wa 4. Kipaji unakufa nacho Kama vile njia ya kupata kipaji ni matokeo ya kuzaliwa nacho kadhalika […]

July 11, 2020/0 Comments/by Isaack Zake
SPIRITUAL FOOD

Day.41. Spiritual Food: Kula Mwili wa Yesu Kristo upate uzima

Utangulizi Karibu sana ndugu yangu msomaji ni siku nyingine tena tumepewa na Mungu kwa ajili ya kuendelea kujifunza zaidi misingi ya chakula cha kiroho ili kutuwezesha kufanya mapenzi yake na kumtumikia kwa furaha na upendo siku ya leo. ‘Mimi ndimi chakula chenye uzima kilichoshuka kutoka mbinguni; mtu akila chakula hiki, ataishi milele. Na chakula nitakachotoa […]

July 11, 2020/0 Comments/by Isaack Zake
KIPAJI CHANGU

Kipaji.12. Msingi wa Kipaji Na.3. Kipaji kinakupa Nafasi

Utangulizi Karibu sana ndugu yangu katika mafunzo juu ya Kipawa/Vipawa katika ukurasa huu wa vipaji. Katika makala iliyopita tuliona msingi wa kipaji kuwa zawadi.  Leo tunaangalia msingi wa 3 ya kuwa Kipaji kinakupa Nafasi. Karibu sana tujifunze. Msingi wa 3. Kipaji kinakupa Nafasi Katika zama hizi ambazo idadi ya watu imekuwa kubwa zaidi duniani na […]

July 10, 2020/0 Comments/by Isaack Zake
SPIRITUAL FOOD

Day.40. Spiritual Food: Yesu ndiye chakula cha uzima

Utangulizi Karibu sana ndugu yangu msomaji ni siku nyingine tena tumepewa na Mungu kwa ajili ya kuendelea kujifunza zaidi misingi ya chakula cha kiroho ili kutuwezesha kufanya mapenzi yake na kumtumikia kwa furaha na upendo siku ya leo. ‘Mimi ndimi chakula chenye uzima kilichoshuka kutoka mbinguni; mtu akila chakula hiki, ataishi milele. Na chakula nitakachotoa […]

July 10, 2020/0 Comments/by Isaack Zake
Page 5 of 14«‹34567›»

MAKUNDI YA MAKALA

  • ELIMU (20)
  • FAMILIA (2)
  • KIPAJI CHANGU (14)
  • KUSUDI LA MAISHA (13)
  • MAANA YA KAZI (17)
  • MAKALA (2)
  • NENO LA MUNGU (8)
  • SPIRITUAL FOOD (55)

MAKALA MPYA

  • Day.55. Spiritual Food: Je, ulipo kuna maneno ya uzima wa milele? March 26, 2022
  • Day.54. Spiritual Food: Je, unataka kuondoka? March 24, 2022
  • Day.53. Spiritual Food: Je umekwazwa na kitu gani maishani? January 15, 2022
  • AES.20. Upimaji ni rahisi kuwa na udanganyifu November 8, 2021
  • Day.52. Spiritual Food: Twamwendea Bwana Yesu kwa Neema October 18, 2021

Kuhusu | Vitabu | Mawasiliano

© 2020 Isaack Zake. All Rights Reserved

Scroll to top