Purpose 4. Hatua za kujua kusudi – Tengeneza kiu ndani yako
Karibu sana ndugu msomaji wa makala mbalimbali katika mtandao huu wa isaackzake. Tunamshukuru Mungu sana kwa nafasi aliyotupa tena kukutana na wewe msomaji kwa njia ya makala hizi. Katika makala iliyopita tulianza kuangalia hatua ya kwanza katika safari ya kulifahamu kusudi la maisha yako ambayo inasema ni Kutambua mamlaka iliyo juu. Leo hii tunakwenda kuangalia […]
