Kazi 16. Changamoto za ajira – Kushindanisha watu
Utangulizi Karibu tena ndugu msomaji katika mfululizo wa makala hizi za kujifunza juu ya maana ya kazi kwa lengo la kuboresha maisha yetu kila siku na kusaidia watu wengi ambao wanapaswa kufanya kazi ili kuingia kazini. Katika makala ilizotangulia tumeangalia juu ya changamoto za ajira ambayo ni ‘nafasi ya ajira’ hii ina maana ili ajira […]