• Twitter
  • Facebook
  • Instagram
Isaack Zake
  • Home
  • Kuhusu Mimi
  • Huduma
  • Vitabu
  • ULIZA
  • Shop
  • Blog
  • Mawasiliano
  • Search
  • Menu Menu
Isaack Zake

About Isaack Zake

This author has not written his bio yet.
But we are proud to say that Isaack Zake contributed 131 entries already.

Entries by Isaack Zake

SPIRITUAL FOOD

Day.48. Spiritual Food: Kuishi milele kwa chakula cha uzima

Utangulizi Karibu sana ndugu yangu msomaji ni siku nyingine tena tumepewa na Mungu kwa ajili ya kuendelea kujifunza zaidi misingi ya chakula cha kiroho ili kutuwezesha kufanya mapenzi yake na kumtumikia kwa furaha na upendo siku ya leo. ‘Hiki ndicho chakula kishukacho kutoka mbinguni; si kama mababa walivyokula, wakafa; bali akilaye chakula hicho ataishi milele. […]

March 4, 2021/0 Comments/by Isaack Zake
SPIRITUAL FOOD

Day.47. Spiritual Food: Kuwa Hai ndani ya Kristo

Utangulizi Karibu sana ndugu yangu msomaji ni siku nyingine tena tumepewa na Mungu kwa ajili ya kuendelea kujifunza zaidi misingi ya chakula cha kiroho ili kutuwezesha kufanya mapenzi yake na kumtumikia kwa furaha na upendo siku ya leo. ‘Kama vile Baba alie hai alivyonituma mimi, nami ni hai kwa Baba; kadhalika naye mwenye kunila atakuwa […]

March 3, 2021/0 Comments/by Isaack Zake
SPIRITUAL FOOD

Day.46. Spiritual Food: Chakula cha kweli

Utangulizi Karibu sana ndugu yangu msomaji ni siku nyingine tena tumepewa na Mungu kwa ajili ya kuendelea kujifunza zaidi misingi ya chakula cha kiroho ili kutuwezesha kufanya mapenzi yake na kumtumikia kwa furaha na upendo siku ya leo. ‘Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu hukaa ndani yangu, nami hukaa ndani yake’ Yn.6:56 Mambo ya […]

March 2, 2021/0 Comments/by Isaack Zake
KUSUDI LA MAISHA

Purpose 12. Kanuni za Kusudi- Mungu aliumba kila kitu kwa Kusudi

Karibu sana ndugu msomaji wa makala mbalimbali katika mtandao huu wa isaackzake. Tunamshukuru Mungu sana kwa nafasi aliyotupa tena kukutana na wewe msomaji kwa njia ya makala hizi. Katika makala iliyotangulia tulianza kuangalia kanuni za msingi za Kusudi kwa kuitazama Kanuni ya 1 inayosema Mungu ni wa Kusudi. Leo tunaendelea kujifunza Kanuni ya 2 inayosema […]

March 1, 2021/0 Comments/by Isaack Zake
KUSUDI LA MAISHA

Purpose 11. Kanuni za Kusudi- Mungu ni wa Kusudi

Karibu sana ndugu msomaji wa makala mbalimbali katika mtandao huu wa isaackzake. Tunamshukuru Mungu sana kwa nafasi aliyotupa tena kukutana na wewe msomaji kwa njia ya makala hizi. Katika makala zilizotangulia tumejifunza juu ya maana ya kusudi na hatua ambazo zinapaswa kuchukuliwa na mtu ili kufahamu kusudi la maisha yake. Leo tunaanza kuangalia kanuni za […]

February 25, 2021/0 Comments/by Isaack Zake
FAMILIA

2.Familia: Ni nini sababu ya uwepo wa familia?

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa mtandao wa isaack zake hasa katika mfululizo makala maalum zinazohusu familia. Kama tunavyofahamu familia au muungano wa mtu mke na mtu mume ndio asili au chanzo cha uwepo wa jamii nzima na mataifa yote duniani. Leo hii tunazungumzia wakaazi wa dunia takribani Bilioni 7.8 wote hawa wametoka kwenye familia. […]

February 21, 2021/2 Comments/by Isaack Zake
FAMILIA

1. Familia

Utangulizi Karne ya 21 ni wakati ambao mabadiliko makubwa katika mifumo ya maisha ya wakaazi wa dunia hii yametokea kwa kasi zaidi. Tunashuhudia mabadiliko katika maeneo mengi sana ya kimaisha. Tunaona jinsi sayansi na teknolojia ilivyochukua nafasi kubwa ya maisha yetu ya kila siku. Mifumo ya maisha hasa namna ambavyo familia zinaanzishwa, zinalelewe na kukabiliana […]

February 20, 2021/0 Comments/by Isaack Zake
MAANA YA KAZI

Kazi 17. Je ajira ni kipimo cha maisha yako?

Utangulizi Karibu tena ndugu msomaji katika mfululizo wa makala hizi za kujifunza juu ya maana ya kazi kwa lengo la kuboresha maisha yetu kila siku na kusaidia watu wengi ambao wanapaswa kufanya kazi ili kuingia kazini. Uandishi wa makala hii umesukumwa hasa na kisa kilichojitokeza hivi karibuni ambacho kilinisikitisha na hata kunifikirisha kile ambacho kinachoendelea […]

February 13, 2021/0 Comments/by Isaack Zake
SPIRITUAL FOOD

Day.45. Spiritual Food: Chakula cha kweli

Utangulizi Karibu sana ndugu yangu msomaji ni siku nyingine tena tumepewa na Mungu kwa ajili ya kuendelea kujifunza zaidi misingi ya chakula cha kiroho ili kutuwezesha kufanya mapenzi yake na kumtumikia kwa furaha na upendo siku ya leo. ‘Kwa maana mwili wangu ni chakula cha kweli, na damu yangu ni kinywaji cha kweli’ Yn.6:55 Mambo […]

February 13, 2021/0 Comments/by Isaack Zake
KUSUDI LA MAISHA

Purpose 10. Mamlaka ya Juu ilikuchagua kabla ya kuumbwa ulimwengu

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa makala mbalimbali katika mtandao huu wa isaackzake. Tunamshukuru Mungu sana kwa nafasi aliyotupa tena kukutana na wewe msomaji kwa njia ya makala hizi. Katika makala iliyopita tulijifunza juu ya Mamlaka ya Juu kutambua juu ya siku zako zote. Leo tunazidi kuangalia juu ya ufahamu wa Mamlaka ya Juu kabla […]

February 12, 2021/0 Comments/by Isaack Zake
Page 2 of 14‹1234›»

MAKUNDI YA MAKALA

  • ELIMU (20)
  • FAMILIA (2)
  • KIPAJI CHANGU (14)
  • KUSUDI LA MAISHA (13)
  • MAANA YA KAZI (17)
  • MAKALA (2)
  • NENO LA MUNGU (8)
  • SPIRITUAL FOOD (55)

MAKALA MPYA

  • Day.55. Spiritual Food: Je, ulipo kuna maneno ya uzima wa milele? March 26, 2022
  • Day.54. Spiritual Food: Je, unataka kuondoka? March 24, 2022
  • Day.53. Spiritual Food: Je umekwazwa na kitu gani maishani? January 15, 2022
  • AES.20. Upimaji ni rahisi kuwa na udanganyifu November 8, 2021
  • Day.52. Spiritual Food: Twamwendea Bwana Yesu kwa Neema October 18, 2021

Kuhusu | Vitabu | Mawasiliano

© 2020 Isaack Zake. All Rights Reserved

Scroll to top