• Twitter
  • Facebook
  • Instagram
Isaack Zake
  • Home
  • Kuhusu Mimi
  • Huduma
  • Vitabu
  • ULIZA
  • Shop
  • Blog
  • Mawasiliano
  • Search
  • Menu Menu
Isaack Zake

About Isaack Zake

This author has not written his bio yet.
But we are proud to say that Isaack Zake contributed 131 entries already.

Entries by Isaack Zake

MAANA YA KAZI

Sehemu ya 4. Kazi kwa maana ya Ubunifu na Uzalishaji

Utangulizi Karibu tena ndugu msomaji katika mfululizo wa makala hizi za kujifunza juu ya maana ya kazi kwa lengo la kuboresha maisha yetu kila siku na kusaidia watu wengi ambao wanapaswa kufanya kazi ili kuingia kazini. Katika makala iliyopita tumeanza kujifunza maana ya neno kazi kwa tafsiri ya biblia na tukaona juu ya maana ya […]

February 27, 2020/0 Comments/by Isaack Zake
ELIMU

AES.1. Mfumo Mbadala wa Elimu

Utaangulizi Karibu sana ndugu msomaji na mfuatiliaji wa mtandao wa isaackzake. Pia nikukaribishe katika ukurasa huu maalum kabisa kwa lengo la kufuatilia mambo mbalimbali tunayotarajia kujifunza kwa lengo la kuboresha maisha yetu. Moja ya eneo ambalo linaathiri maisha yetu kwa sehemu kubwa ni aina au mfumo wa elimu ambao tumepitia. Mfumo huo unaweza kuwa rasmi […]

February 25, 2020/0 Comments/by Isaack Zake
MAANA YA KAZI

Sehemu ya 3. Kazi kwa maana ya uwezo wa Kuumba

Utangulizi Karibu tena ndugu msomaji katika mfululizo wa makala hizi za kujifunza juu ya maana ya kazi kwa lengo la kuboresha maisha yetu kila siku na kusaidia watu wengi ambao wanapaswa kufanya kazi ili kuingia kazini. Katika makala iliyopita tumejifunza kwa kuangalia tatizo kubwa si ukosefu wa kazi au ajira bali ni changamoto ya mtazamo […]

February 23, 2020/0 Comments/by Isaack Zake
SPIRITUAL FOOD

Day.4. Spiritual Food: Je, kwa nini unamtafuta Yesu?

Utangulizi Karibu sana ndugu yangu msomaji wa mtandao huu wa isaack zake. Katika kipengele cha maarifa ya kiroho ya Uliza Neno tunakwenda kujifunza mambo mbalimbali yanayoanishwa na neno la Mungu kwa lengo la kutusaidia utu wetu katika safari na majukumu tuliyonayo hapa duniani siku kwa siku. Katika somo lililopita tulianza kuangalia habari ya nafasi ya […]

February 23, 2020/0 Comments/by Isaack Zake
MAANA YA KAZI

Sehemu ya 2. Je, ni nini maana ya Kazi?

Karibu tena ndugu msomaji katika mfululizo wa makala hizi za kujifunza juu ya maana ya kazi kwa lengo la kuboresha maisha yetu kila siku na kusaidia watu wengi ambao wanapaswa kufanya kazi ili kuingia kazini. Katika makala iliyopita tumejifunza kwa kuangalia tatizo kubwa si ukosefu wa kazi au ajira bali ni changamoto ya mtazamo au […]

February 22, 2020/0 Comments/by Isaack Zake
SPIRITUAL FOOD

Day.3. Spiritual Food: Nafasi ya Muujiza katika maisha ya Kiimani – 2

Utangulizi Karibu sana ndugu yangu msomaji wa mtandao huu wa isaack zake. Katika kipengele cha maarifa ya kiroho ya Uliza Neno tunakwenda kujifunza mambo mbalimbali yanayoanishwa na neno la Mungu kwa lengo la kutusaidia utu wetu katika safari na majukumu tuliyonayo hapa duniani siku kwa siku. Katika somo lililopita tulianza kuangalia habari ya nafasi ya […]

February 22, 2020/0 Comments/by Isaack Zake
SPIRITUAL FOOD

Day.2. Spiritual Food: Nafasi ya muujiza/ishara katika maisha ya Kiimani.

Utangulizi Karibu sana ndugu yangu msomaji wa mtandao huu wa isaack zake. Katika kipengele cha maarifa ya kiroho ya Uliza Neno tunakwenda kujifunza mambo mbalimbali yanayoanishwa na neno la Mungu kwa lengo la kutusaidia utu wetu katika safari na majukumu tuliyonayo hapa duniani siku kwa siku. Katika somo lililopita tulijifunza juu ya Msingi wa Chakula […]

February 20, 2020/0 Comments/by Isaack Zake
MAANA YA KAZI

Sehemu ya 1. Maana ya Kazi

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji na mfuatiliaji wa mtandao wa isaack zake kwa ajili ya kupata maarifa na hekima zitakazoweza kukusaidia kupiga hatua katika maisha yako. Ukurasa huu ni maalum kwa ajili ya mafundisho yanayohusu kazi na ajira. Katika nyakati hizi tunashuhudia ongezeko kubwa la watu wasio na kazi au ajira. Hivyobasi Ukurasa wa ‘Uliza […]

February 20, 2020/0 Comments/by Isaack Zake
SPIRITUAL FOOD

Day.1: Spiritual Food: Msingi wa Chakula cha Kiroho

Utangulizi Karibu sana ndugu yangu msomaji wa mtandao huu wa isaack zake. Katika kipengele cha maarifa ya kiroho ya Uliza Neno tunakwenda kujifunza mambo mbalimbali yanayoanishwa na neno la Mungu kwa lengo la kutusaidia utu wetu katika safari na majukumu tuliyonayo hapa duniani siku kwa siku. Hivyo tutakuwa na mfululizo wa masomo mbalimbali ndani ya […]

February 18, 2020/0 Comments/by Isaack Zake
MAKALA

MASWALI NA MAJIBU

Karibu sana kwenye mtandao huu hii ni sehemu ya maswali na majibu, unaweza kuuliza chochote hapa na utajibiwa.

February 15, 2020/1 Comment/by Isaack Zake
Page 13 of 14«‹11121314›

MAKUNDI YA MAKALA

  • ELIMU (20)
  • FAMILIA (2)
  • KIPAJI CHANGU (14)
  • KUSUDI LA MAISHA (13)
  • MAANA YA KAZI (17)
  • MAKALA (2)
  • NENO LA MUNGU (8)
  • SPIRITUAL FOOD (55)

MAKALA MPYA

  • Day.55. Spiritual Food: Je, ulipo kuna maneno ya uzima wa milele? March 26, 2022
  • Day.54. Spiritual Food: Je, unataka kuondoka? March 24, 2022
  • Day.53. Spiritual Food: Je umekwazwa na kitu gani maishani? January 15, 2022
  • AES.20. Upimaji ni rahisi kuwa na udanganyifu November 8, 2021
  • Day.52. Spiritual Food: Twamwendea Bwana Yesu kwa Neema October 18, 2021

Kuhusu | Vitabu | Mawasiliano

© 2020 Isaack Zake. All Rights Reserved

Scroll to top