Day.55. Spiritual Food: Je, ulipo kuna maneno ya uzima wa milele?
Utangulizi Karibu sana ndugu yangu msomaji ni siku nyingine tena tumepewa na Mungu kwa ajili ya kuendelea kujifunza zaidi misingi ya chakula cha kiroho ili kutuwezesha kufanya mapenzi yake na kumtumikia kwa furaha na upendo siku ya leo. ‘Basi Simon Petro akamjibu, Bwana! Twende kwa nani? Wewe unayo maneno ya uzima wa milele’ Yn.6:68 Mambo […]