Purpose 11. Kanuni za Kusudi- Mungu ni wa Kusudi
Karibu sana ndugu msomaji wa makala mbalimbali katika mtandao huu wa isaackzake. Tunamshukuru Mungu sana kwa nafasi aliyotupa tena kukutana na wewe msomaji kwa njia ya makala hizi.
Katika makala zilizotangulia tumejifunza juu ya maana…
2.Familia: Ni nini sababu ya uwepo wa familia?
Utangulizi
Karibu sana ndugu msomaji wa mtandao wa isaack zake hasa katika mfululizo makala maalum zinazohusu familia. Kama tunavyofahamu familia au muungano wa mtu mke na mtu mume ndio asili au chanzo cha uwepo wa jamii nzima na mataifa…
1. Familia
Utangulizi
Karne ya 21 ni wakati ambao mabadiliko makubwa katika mifumo ya maisha ya wakaazi wa dunia hii yametokea kwa kasi zaidi. Tunashuhudia mabadiliko katika maeneo mengi sana ya kimaisha. Tunaona jinsi sayansi na teknolojia ilivyochukua…
Kazi 17. Je ajira ni kipimo cha maisha yako?
Utangulizi
Karibu tena ndugu msomaji katika mfululizo wa makala hizi za kujifunza juu ya maana ya kazi kwa lengo la kuboresha maisha yetu kila siku na kusaidia watu wengi ambao wanapaswa kufanya kazi ili kuingia kazini.
Uandishi wa…
Day.45. Spiritual Food: Chakula cha kweli
Utangulizi
Karibu sana ndugu yangu msomaji ni siku nyingine tena tumepewa na Mungu kwa ajili ya kuendelea kujifunza zaidi misingi ya chakula cha kiroho ili kutuwezesha kufanya mapenzi yake na kumtumikia kwa furaha na upendo siku ya leo.
‘Kwa…
Purpose 10. Mamlaka ya Juu ilikuchagua kabla ya kuumbwa ulimwengu
Utangulizi
Karibu sana ndugu msomaji wa makala mbalimbali katika mtandao huu wa isaackzake. Tunamshukuru Mungu sana kwa nafasi aliyotupa tena kukutana na wewe msomaji kwa njia ya makala hizi.
Katika makala iliyopita tulijifunza juu…
Kazi 16. Changamoto za ajira – Kushindanisha watu
Utangulizi
Karibu tena ndugu msomaji katika mfululizo wa makala hizi za kujifunza juu ya maana ya kazi kwa lengo la kuboresha maisha yetu kila siku na kusaidia watu wengi ambao wanapaswa kufanya kazi ili kuingia kazini.
Katika makala…
Purpose 9. Mamlaka ya Juu inatambua siku zako zote
Utangulizi
Karibu sana ndugu msomaji wa makala mbalimbali katika mtandao huu wa isaackzake. Tunamshukuru Mungu sana kwa nafasi aliyotupa tena kukutana na wewe msomaji kwa njia ya makala hizi.
Katika makala iliyopita tulijifunza juu…
AES.18. Upimaji wa muda mfupi
Utangulizi
Karibu sana ndugu msomaji wetu. Katika makala zilizopita tulianza kuzichambua changamoto za mfumo wa elimu katika upimaji, kwa kuangalia kiujumla mojawapo ya changamoto kubwa ya mfumo huu rasmi ya elimu. Katika makala…