Day.26. Spiritual Food: Ahadi ya Bwana Yesu kwa ajili yako
Utangulizi
Karibu sana ndugu yangu msomaji ni siku nyingine tena tumepewa na Mungu kwa ajili ya kuendelea kujifunza zaidi misingi ya chakula cha kiroho ili kutuwezesha kufanya mapenzi yake na kumtumikia kwa furaha na upendo siku…
AES.9. Changamoto za Mfumo rasmi wa Elimu – Ushindani usio na tija
Utangulizi
Karibu sana ndugu msomaji wetu. Katika makala iliyopita tulijifunza juu ya changamoto ya Nadharia katika mfumo wa elimu. Leo tunaangalia changamoto Ushindani usio na tija. Karibu sana.
Tunaendelea kuzichambua…
Day.25. Spiritual Food: Je, unajua Yesu alikuja duniani kwa ajili yako?
Utangulizi
Karibu sana ndugu yangu msomaji ni siku nyingine tena tumepewa na Mungu kwa ajili ya kuendelea kujifunza zaidi misingi ya chakula cha kiroho ili kutuwezesha kufanya mapenzi yake na kumtumikia kwa furaha na upendo siku ya leo.
‘Kwa…
Kipaji.6 . Changamoto ya Umri
Utangulizi
Karibu sana ndugu yangu katika mafunzo juu ya Kipawa/Vipawa katika ukurasa huu wa vipaji. Katika makala iliyopita tulianza kujiuliza swali la ‘Kwa nini watu hawawekezi kwenye vipaji vyao?. Tuliangalia sababu ya 2 ya watu…
Day.24. Spiritual Food: Yesu awakubali wakosa
Utangulizi
Karibu sana ndugu yangu msomaji ni siku nyingine tena tumepewa na Mungu kwa ajili ya kuendelea kujifunza zaidi misingi ya chakula cha kiroho ili kutuwezesha kufanya mapenzi yake na kumtumikia kwa furaha na upendo siku ya leo.
‘Wote…
Kipaji.5. Kutokutumia Kipaji
Utangulizi
Karibu sana ndugu yangu katika mafunzo juu ya Kipawa/Vipawa katika ukurasa huu wa vipaji. Katika makala iliyopita tulianza kujiuliza swali la ‘Kwa nini watu hawawekezi kwenye vipaji vyao?. Tuliangalia sababu ya 1 ya…
Day.23. Spiritual Food: Amini kile Bwana alichokuonesha juu yake
Utangulizi
Karibu sana ndugu yangu msomaji ni siku nyingine tena tumepewa na Mungu kwa ajili ya kuendelea kujifunza zaidi misingi ya chakula cha kiroho ili kutuwezesha kufanya mapenzi yake na kumtumikia kwa furaha na upendo siku ya leo.
‘Lakini…
AES.8. Changamoto za Mfumo rasmi wa Elimu - Nadharia
Utangulizi
Karibu sana ndugu msomaji wetu. Katika makala iliyopita tulijifunza juu ya changamoto ya Ubaguzi katika mfumo rasmi wa elimu. Leo tunaangalia changamoto Nadharia katika mfumo wa elimu. Karibu sana.
Kama tulivyoona…
Day.22. Spiritual Food: Je, unakwenda kwa nani kupata chakula cha kiroho?
Utangulizi
Karibu sana ndugu yangu msomaji ni siku nyingine tena tumepewa na Mungu kwa ajili ya kuendelea kujifunza zaidi misingi ya chakula cha kiroho ili kutuwezesha kufanya mapenzi yake na kumtumikia kwa furaha na upendo siku ya leo.
‘Yesu…
AES.7. Changamoto za Mfumo rasmi wa Elimu - Ubaguzi
Jinsi mtihani unavyoweza kubagua katika mfumo wa elimu
Utangulizi
Moja ya eneo ambalo linaathiri maisha yetu kwa sehemu kubwa ni aina au mfumo wa elimu ambao tumepitia. Mfumo huo unaweza kuwa rasmi au usio rasmi, kwa vyovyote vile aina…